Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Ujenzi wa Barabara ya Morocco -Mwenge washika kasi kufwatia agizo la Rais Dr John Magufuli

 Mafundi wakiendelea na harakati za ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco ikiwa ni moja ya hatua ya upanuzi wa barabara hiyo kutoka...

 Mafundi wakiendelea na harakati za ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco ikiwa ni moja ya hatua ya upanuzi wa barabara hiyo kutoka njia mbili hadi kuwa barabara ya njia tano lengo ni kupunguza msongamano wa foleni.

 Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima akiongea na mmoja wa wachuuzi wa vyungu vya maua maeneo ya Bamaga Bw.Emmanuel Kilua ambaye tayari ameshapewa maelekezo ya kupisha eneo hilo ili kupisha ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco inayojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Estim na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita.
 Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima akionesha alama zilizowekwa katika maeneo ya Bamaga ikiashiria kuwa tayari ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco imeshaanza kufanya kazi tangu Desemba Mosi, mwaka huu na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita.
 Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Aisha Malima akipata maelekezo kutoka kwa mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Estim bw. Joseph Shauri kuhusu ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco.
 Vifusi vikiwa vimekusanywa katika maeneo ya Mwenge ikiwa ni hatua za awali za ujenzi wa Barabara ya kutoka Mwenge hadi Morocco kazi iliyoanza Desemba Mosi, mwaka huu na inatarajiwa kuisha baada ya miezi sita chini ya Kampuni ya Ujenzi ya Estim jijini Dar es Salaam.

Barabara ya Mwenge hadi Morroco inavyoonekana katika picha kwa sasa ambayo inatarajiwa kuwa barabara ya nia tano badala mbili kama ilivyo sasa lengo ikiwa ni kupunguza msongamano wa foleni kwa watumiaji wa barabara hiyo.Picha na Lorietha Laurence –Maelezo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Ujenzi wa Barabara ya Morocco -Mwenge washika kasi kufwatia agizo la Rais Dr John Magufuli
Ujenzi wa Barabara ya Morocco -Mwenge washika kasi kufwatia agizo la Rais Dr John Magufuli
http://2.bp.blogspot.com/-nEZMYvTHIJs/Vl71wTQySVI/AAAAAAADbvc/d5yiXcz96m4/s640/MOR1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-nEZMYvTHIJs/Vl71wTQySVI/AAAAAAADbvc/d5yiXcz96m4/s72-c/MOR1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/ujenzi-wa-barabara-ya-morocco-mwenge.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/ujenzi-wa-barabara-ya-morocco-mwenge.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago