Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TTCL waitumia 9 Desemba kusafisha Soko Temeke, wasaidia vifaa vya usafi

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam ...Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakigawana nyenzo za kufanyia usafi kabla ya kuanza usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (katikati) akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kufafanua juu ya zoezi la usafi lililofanywa na wafanyakazi wa kampuni hiyo  katika Soko la Temeke Stereo pamoja na kukabidhi vifaa vya kufanyia usafi. 
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (wa pili kulia) akikabidhi baadhi ya vifaa vya usafi kwa Ofisa Masoko Manispaa ya Temeke, Tito Nombo (mwenye shati jeupe) kabla ya kuanza zoezi la kusafisha maeneo mbalimbali ya soko la Temeke Stereo la jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa TTCL na maofisa wa soko la Temeke wakishuhudia zoezi hilo. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 

Meneja Uhusiano wa TTCL, Nicodemas Thomas (kulia) akifanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 
Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. 
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kulia) akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TTCL waitumia 9 Desemba kusafisha Soko Temeke, wasaidia vifaa vya usafi
TTCL waitumia 9 Desemba kusafisha Soko Temeke, wasaidia vifaa vya usafi
http://2.bp.blogspot.com/-pjWNNRKGQ70/VmgBC_xoAcI/AAAAAAAAFqI/iiDCT8TJ1a8/s640/IMG_0311.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-pjWNNRKGQ70/VmgBC_xoAcI/AAAAAAAAFqI/iiDCT8TJ1a8/s72-c/IMG_0311.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/ttcl-waitumia-9-desemba-kusafisha-soko.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/ttcl-waitumia-9-desemba-kusafisha-soko.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago