Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

 Moja ya kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (k...

 Moja ya kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akipanda kwenye moja ya vichwa 4 vya treni ya Tazara vilivyotolewa na Serikali ya China.
 Moja ya mabehewa mapya
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kulia) wakibadilishana mawazo wakiwa ndani ya sehemu ya kulia chakula iliyomo kwenye moja ya behewa jipya.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji TAZARA, Ronald Phiri na Mwakilishi wa Balozi wa China.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) Ronald Phiri akibadilishan hati za makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 vya treni na Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa China Lin Zhiyong.
 Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akizungumza kabla ya makabidhiano
 Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga akizungumzia umuhimu wa reli ya TAZARA kwa Tanzania na Zambia.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akizungumzia mustakbali wa TAZAMA katika kujenga uchumi wa Tanzania.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakiteremka kutoka kwenye moja ya behewa jipya baada ya kusafiri nalo kwa dakika kumi kufanyia majaribio.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.
Baadhi ya maafisa kutoka Serikali ya Watu wa China na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA), wakishuhudia utiaji saini wa makabidhiano ya mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China.Picha na Hussein Makame-MAELEZO

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China
TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China
http://4.bp.blogspot.com/--CRe_vunEl4/VmA2dBnPIeI/AAAAAAADbyM/msyKrfMc4dE/s640/tz13.jpg
http://4.bp.blogspot.com/--CRe_vunEl4/VmA2dBnPIeI/AAAAAAADbyM/msyKrfMc4dE/s72-c/tz13.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/tazara-yapokea-mabehewa-18-na-vichwa-4.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/tazara-yapokea-mabehewa-18-na-vichwa-4.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago