Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Serikali yaiongeza Bodi ya Mikopo Sh132 bilioni

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), Hamis Chagonja    -- By Peter Elias, Mwananchi Dar...


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), Hamis Chagonja 
 
--
By Peter Elias, Mwananchi
Dar es Salaam. Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya Serikali kuongeza fedha kiasi cha Sh132 bilioni, kwa ajili ya kugharamia masomo yao kwa mwaka wa masomo wa 2015/16.

Akizungumza na gazeti hili, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), Hamis Chagonja alisema bajeti ya Sh341 bilioni ilikuwa imetengwa kwa ajili ya wanafunzi 14,226 wa mwaka wa kwanza.

Hata hivyo, alisema Serikali imeongeza fedha hizo hadi kufikia Sh473 bilioni ambazo zinatosha kuwalipa wanafunzi 52,000. Alisema ongezeko hilo litawawezesha wanafunzi wengine 37,774 ambao hawakuwamo kwenye bajeti kudhaminiwa na bodi yake kwa mwaka huu wa masomo.

“Kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao ni 71,125 hatuna shida sana, wao wataweza kupata fedha hizo. Changamoto ilikuwa kwa hawa wa mwaka wa kwanza, lakini sasa tumepata fedha za kuwalipa,” alisema.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Serikali yaiongeza Bodi ya Mikopo Sh132 bilioni
Serikali yaiongeza Bodi ya Mikopo Sh132 bilioni
http://1.bp.blogspot.com/-AAkR3oivcqg/VmbxecYdJSI/AAAAAAADcAY/g1nbymkSHQw/s640/CHAGONJA.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-AAkR3oivcqg/VmbxecYdJSI/AAAAAAADcAY/g1nbymkSHQw/s72-c/CHAGONJA.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/serikali-yaiongeza-bodi-ya-mikopo-sh132.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/serikali-yaiongeza-bodi-ya-mikopo-sh132.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago