Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO,WAZIRI WA KILIMO,UVUVI NA UFUGAJI MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA KUJIONEA

 Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigului Nchemba akiangalia Ng'ombe  walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji katik...

 Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigului Nchemba akiangalia Ng'ombe  walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji katika  kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigului Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Beth Mkwasa wakiwajulia hali watu waliojeruhiwa katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea katika  kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12 mwaka huu.
 Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigului Nchemba akizungumza na Mkuu wa wilaya Mvomero, Beth Mkwasa katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12 mwaka huu, walipotembelea katika kijiji hicho na kuona madhara makubwa yaliyojitokeza katika mgogoro wa wakulima na wafugaji.  Nchemba alimwagiza  Mkuu wa wilaya Mvomero, Beth Mkwasa  kuunda kamati ya Ulinzi na Usalama katika wilaya ya Mvomero ili kamati ihusike maeneo yote ya Nchi yetu ili kuhakikisha wanaimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro, pia wahakikishe waliosababisha maafa wanakamatwa mara moja na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia.
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigului Nchemba akizungumza wanachi wa kijiji cha Dihinda waliokusanyika katika eneo lililotokea mauaji ya wanyama na baadhi ya watu kujeruhiwa. 

"Natoa rai kwa Wananchi hususani wa jamii ya Wafugaji na Wakulima, kuwa hakuna ardhi au Mnyama mwenye thamani sawa na Maisha ya Mwanadamu yeyote yule, njia bora na salama ya kutatua migogoro hii inayohusisha wakuliama na wafugaji ni kufuata taratibu za kuonana na Uongozi wa Serikali wa eneo husika hatua kwa hatua, Nawaomba wananchi waache kujichukulia sheria mikononi, t

unakwenda kuunda kamati za usuruhishi wa migogoro hii kwa kila kijiji zitakazohusisha pande zote mbili ili kubaini wavamizi wa maeneo na kuwachukulia hatua za kisheria."
Alisema Nchemba.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO,WAZIRI WA KILIMO,UVUVI NA UFUGAJI MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA KUJIONEA
PICHA:MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO,WAZIRI WA KILIMO,UVUVI NA UFUGAJI MWIGULU NCHEMBA ATEMBELEA KUJIONEA
http://3.bp.blogspot.com/-1hLLRWUqEGI/Vm7mb63I6AI/AAAAAAADcbg/s672VYwdXxQ/s640/0.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-1hLLRWUqEGI/Vm7mb63I6AI/AAAAAAADcbg/s672VYwdXxQ/s72-c/0.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/pichamgogoro-wa-wakulima-na-wafugaji.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/pichamgogoro-wa-wakulima-na-wafugaji.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago