Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA NA IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu Waziri wa wizara ya   Ofisi ya Rais (TAMI...


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu Waziri wa wizara ya  Ofisi ya Rais (TAMISEMI, Utumishi & Utawala Bora) Jaffo Seleman Said katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana  katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha waziri wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, na manaibu Waziri jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri,jana  katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI),Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa wizara ya  Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana  katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Yusuf Makamba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana  katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana  katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Kikanda na Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  Naibu wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Antony Mavunde, katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Khamis Kigwangala katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Angella Kairuki, katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri ,jana katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na IKULU
 


COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA NA IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
PICHA NA IKULU:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
http://1.bp.blogspot.com/-LO-vFYbb7u8/Vm1lOGSO5DI/AAAAAAADcRY/26WtxJe1Xeo/s640/MMG_2676.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-LO-vFYbb7u8/Vm1lOGSO5DI/AAAAAAADcRY/26WtxJe1Xeo/s72-c/MMG_2676.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/picha-na-ikulurais-dkt-magufuli.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/picha-na-ikulurais-dkt-magufuli.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago