Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MZEE NJEMBA ATOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENI MAKUTI, DAR, NDUGU WANAMTAFUTA

Ndugu na jamaa wanatarifiwa kwamba Bw. Hemed Mzee Ibrahim "Njemba" (pichani)  ametoweka nyumbani kwake Magomeni Makuti mtaa w...


Ndugu na jamaa wanatarifiwa kwamba Bw. Hemed Mzee Ibrahim "Njemba" (pichani)  ametoweka nyumbani kwake Magomeni Makuti mtaa wa Mchinga namba 22 jijini Dar es salam toka siku ya Alhamisi tarehe 24/12/2015. 

Alionekana mara ya mwisho kwenye msikiti wa Magomeni Makuti muda wa alasiri alipokwenda kuswali, akiwa kavaa balaghashia (kama hiyo pichani), shati la light purple, suruali ya bluu na kandambili za bluu. Baada ya hapo hakurudi nyumbani kwake na hadi sasa hajulikani alipo. Mzee Njemba hupendelea kutembelea Magomeni Makuti.

Wanafamilia wanaomba mwananchi atayebahatika kumuona atoe tarifa kwa mkwewe Yusuf  anayepatikana katika namba 0784 606 262.

Wanatanguliza Shukurani za dhati kwa wote na kumuombea salama mzee wao.


COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MZEE NJEMBA ATOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENI MAKUTI, DAR, NDUGU WANAMTAFUTA
MZEE NJEMBA ATOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENI MAKUTI, DAR, NDUGU WANAMTAFUTA
http://4.bp.blogspot.com/-9eOXibys_QE/Vn5E3klqo2I/AAAAAAAIOug/FiYoapn-5ec/s400/cc5c02c8-0226-4e93-95df-bb2fe084e271.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-9eOXibys_QE/Vn5E3klqo2I/AAAAAAAIOug/FiYoapn-5ec/s72-c/cc5c02c8-0226-4e93-95df-bb2fe084e271.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mzee-njemba-atoweka-nyumbani-kwake.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mzee-njemba-atoweka-nyumbani-kwake.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago