Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWILI WA AFISA WA GEREZA KUU UKONGA WAAGWA LEO UKONGA JIJINI, DAR ESALAAM

 Maafisa wa Jeshi la Mageereza wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu  Mkaguzi wa Magereza, Morice Peter wakiuingiza nyumbani kwake kabla ...

 Maafisa wa Jeshi la Mageereza wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu  Mkaguzi wa Magereza, Morice Peter wakiuingiza nyumbani kwake kabla ya kutoa heshima za mwisho jana Desemba 24, 2015 katika Viwanja vya Gereza Kuu Ukonga Jijini Dar es Salaam.
 Mkaguzi wa Magereza, Seleman Sued wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam akisoma Wasifu wa Mkaguzi wa Magereza Morice Peter aliyefariki juzi Desemba, 2015 katika Hospitali ya Dar Group, Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria katika hafla ya kuaga mwili wa Marehemu Mkaguzi wa Magereza, Morice Peter.
 Mke wa Marehemu Mkaguzi wa Magereza, Morice Peter(vazi jeupe) akiwa kwenye majonzi makubwa wakati wa kuaga mwili wa mwenzi wake. Marehemu ameagwa jana katika Viwanja vya Gereza Kuu Ukonga Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi nyumbani kwao Mkoani Morogoro.
 Mke wa Marehemu Mkaguzi wa Magereza, Dorice Peter(kulia) akipewa msaada ndugu wa karibu wakati wa kusindikiza mwili kuelekea kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea Mkoani Morogoro kwenye mazishi.
Ndugu na jamaa waliojitokeza kuuaga mwili wa Marehemu Mkaguzi wa Jeshi la Magereza, Morice Peter aliyekuwa akihudumu katika Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam. Mkaguzi Morice Peter amefariki juzi Desemba 22, 2015 baada ya kuugua muda mrefu katika Hospitali ya Dar Group Jijini Dar es salaam.Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWILI WA AFISA WA GEREZA KUU UKONGA WAAGWA LEO UKONGA JIJINI, DAR ESALAAM
MWILI WA AFISA WA GEREZA KUU UKONGA WAAGWA LEO UKONGA JIJINI, DAR ESALAAM
http://3.bp.blogspot.com/-2ndYRuMLLi8/Vn0yqP6bgYI/AAAAAAADc10/9_9vusRNFpA/s640/M1.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-2ndYRuMLLi8/Vn0yqP6bgYI/AAAAAAADc10/9_9vusRNFpA/s72-c/M1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mwili-wa-afisa-wa-gereza-kuu-ukonga.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mwili-wa-afisa-wa-gereza-kuu-ukonga.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago