Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA MAJESHI MSTAAFU,JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA JESHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanj...


Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara na kushoto ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchi ,Luteni Jenerali ,Samweli Ndomba.
Baadhi ya washiriki wa zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro.
Mkuu wa majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya wapandaji.
Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,( KINAPA) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Washiriki.
Afisa Masoko wa KINAPA,Antypas Mgungusi akieleza jambo wakati wa hafala hiyo.
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii,Balozi Charles Sanga ni mingoni mwa washiriki wa zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro.
Mhifadhi mkuu KINAPA,Erastus Lufunguro akiongozana na mgeni rasmi kwa ajili ya kukabidhi bendera kwa wapandaji mlima hao.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi,Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu ,Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo.
Washiriki wakijiandaa kuanza safari.
Safari ya kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro ikaanza kwa maafisa 24 wa JWTZ .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kada ya Kaskazini (0755659929).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA MAJESHI MSTAAFU,JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA JESHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
MKUU WA MAJESHI MSTAAFU,JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA JESHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
http://3.bp.blogspot.com/-TdRpHV6vOUo/VmUSfgLwDWI/AAAAAAAAX5c/iTHuuYxJ8_8/s640/IMG_0908%2B%25281024x683%2529.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-TdRpHV6vOUo/VmUSfgLwDWI/AAAAAAAAX5c/iTHuuYxJ8_8/s72-c/IMG_0908%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mkuu-wa-majeshi-mstaafujenerali-george.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mkuu-wa-majeshi-mstaafujenerali-george.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago