Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara

Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake. Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili. Meneja wa Gl...


DSC_0941Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake.1.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.2.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.3.Waombolezaji wakiwa msibani.Waombolezaji wakiwa msibani.4.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) akiomboleza msibani hapo.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) na wafanyakazi wa Global wakiomboleza msibani hapo.6.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers waomboleza.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiomboleza.7.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.8.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Haruni Sanchawa likishushwa Nyumbani kwa Mjombake Kitunda Dar kwa ajili ya kuagwa.Jeneza lenye mwili wa marehemu Haruni Sanchawa likishushwa Nyumbani kwa Mjomba wake Kitunda Dar kwa ajili ya kuagwa.9.Jeneza lenye mwili.Jeneza lenye mwili.10.Mchungaji wa Kanisa la Asebuliz of God, Benedict B.Salikiwa akitoa abada fupi y kumuombea marehemu.Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Benedict B. Salikiwa akiongoza ibada fupi ya kumuombea marehemu.11.Mhariri Mwandamizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambul akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kampuni ya Global Publishers.Mhariri Mwandamizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kampuni ya Global Publishers.12.Wafanyakzi wa Global, Bahati Haule na Hadija Mngwai wakipita mbele ya jeneza kuuaga mwili.Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.13.Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa marehemu Sanchawa.Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa marehemu Sanchawa.14. Mwandishi wa Habari Imelda Mtema (wakwanza mbele) akiwa na huzuni wakati wa kuuaga mwili wa mpendwa wao.Wafanyakazi wa Global wakiuaga mwili wa mpendwa wao.15.Mwandishi wa Habari,Gladnes Malya akisaidiwa na wafanya kazi wenzake mara baada ya kushindwa kuuaga mwili wa Sanchawa.Mwandishi wa Habari,Gladnes Malya akisaidiwa na wafanya kazi wenzake mara baada ya kushindwa kuuaga mwili wa Sanchawa.17.Mhariri Mwandamizi, Walusanga Ndaki (mwenye fulana ya Uwazi) akitoa heshima za mwisho.Mhariri Mwandamizi, Walusanga Ndaki (mwenye fulana nyeupe) akitoa heshima za mwisho. 19.,Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa Sanchawa.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa Sanchawa.20.Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota akiongoza wafanyakzi wa Global kuuaga mwili wa Sanchawa.Mhariri Kiongozi wa Gazeti la Championi, Saleh Ally (mbele mwenye miwani) na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (mwenye fulana nyeusi) wakiauaga mwili wa Sanchawa.21.Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa, Osca Ndauka akitia heshim a za mwisho.Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa, Oscar Ndauka akiuaga mwili wa marehemu.F.Mkurugenzi wa Global Publishers, Lydia James (mbele) akipita kuuga mwili wa marehemu Sanchawa.Mkurugenzi wa Global Publishers, Lydia James (mbele) akipita kuuga mwili wa marehemu Sanchawa.DSC_0656 A.Jeneza lililobeba mwili likiingizwa kwenye gari tayari kuelekea Serengeti Mkoani Mara. DSC_0654Mwili wa Marehemu ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya safari kwenda Mugumu, Serengeti mkoani Mara kwa Mazishi.
--
MWANDISHI wa habari wa Global Publishers Ltd, Haruni Sanchawa, aliyefariki dunia Desemba 9 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, ameagwa leo nyumbani kwa mjomba wake Kitunda jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kuelekea Mugumu-Serengeti, mkoani Mara, ambapo atazikwa kijiji cha Lemungololi.

Sanchawa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo, alifariki saa chache baada kuhamishiwa katika hospitali hiyo baada ya kupewa rufaa kutoka Hospitali ya Amana alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.

"MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU HARUNI SANCHAWA MAHALI PEMA PEPONI - AMEN"

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara
Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara
http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/DSC_09411.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mfanyakazi-wa-global-haruni-sanchawa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mfanyakazi-wa-global-haruni-sanchawa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago