Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mbunge Wa jumbo la Mtama-CCM Nape Nnauye Ashiriki Zoezi la Usafi Jimboni Kwake

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ...

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.

  Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa jimbo lake waliojitokeza kushiriki usafi

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mbunge Wa jumbo la Mtama-CCM Nape Nnauye Ashiriki Zoezi la Usafi Jimboni Kwake
Mbunge Wa jumbo la Mtama-CCM Nape Nnauye Ashiriki Zoezi la Usafi Jimboni Kwake
http://4.bp.blogspot.com/-mpm3i2ixWrc/VmfjNCpwpyI/AAAAAAAAsGw/M3Rj-4I5bKM/s640/1.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-mpm3i2ixWrc/VmfjNCpwpyI/AAAAAAAAsGw/M3Rj-4I5bKM/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mbunge-wa-jumbo-la-mtama-ccm-nape.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mbunge-wa-jumbo-la-mtama-ccm-nape.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago