Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MASHABIKI WAZIDI KUIFANGILIA SKYLIGHT NJOO LEO UPATE VITU VIPYA KUTOKA KWENYE BENDI HIYO

  Hakika kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight.....Ju...
 Hakika kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight.....Just Follow the Light.
  Sam Mapenzi na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita, bila kukosa ya leo itakuwa pale pale.
 Mwimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah(katikati) akiongoza akitoa burudani ya nguvu mbele ya mashabiki wao huku akisindikizwa na Sony Masamba(kushoto) pamoja na Leah(kulia)
 Mashabiki wakiendelea kujimwaga na burudani ya Skylight Band kiota cha Escape One.
 Sony Masamba akichana mistari kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku Suzy,na Leah wakimsikindiza kwa miondoko ya aina yake.
 Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.
 Suzy akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita huku akisindikizwa na Sam Mapenzi, Joniko pamoja na Sony Masamba
 
 Mashabiki na wapenzi wa bandi pamoja na wainbaji wa bendi hiyo wakiendelea kuserebuka na  mziki mkali kutoka katika bendi ya Skylight maana tunasema usisubili kupewa raha jipe raha mwenyewe. 
 Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wao (hawapo pichani kwenye kiota cha Escape One Jumapili iliyopita.
 Waimbaji wa Bandi ya Skylight, Leah pamoja na Suzy wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Escape One jumapili iliyopita sasa leo sio siku ya kukosa njoo ujionee mambo mapya kutoka kwenye bandi ya Skylight
Bijal Valentine(wa kwanza kushoto)   akiongoza waimbaji wenzake wa Skylight Band,  huku akisindikizwa na ,Suzy (kulia)pamoja na Leah  (katikati) 
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba akiimba huku wasanii wa bendi hiyo pamoja na mashabiki wakiendelea kuselebuka na mziki mzuri kutoka Skylight.
 
Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kiota cha Escape One Mikocheni.
 Hakika Skylight band ni bendi ya inayotoa burudani ya muziki unaowakosha watu wa aina zote sasa leo usikose njoo ujipatie vitu vipya kutoka katika bendi hiyo.
 Sam Mapenzi akiongoza marapa wenzake wa Skylight Band, Suzy na Natasha kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band.
Bijal Valentine akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band uku shabiki wa Bandi hiyo akiwa sambamba na mwimbaji huyo Jumapili iliyopita ndani ya kioa cha Escape One Mikocheni ambapo leo pia burudani iko pale pale na ndio kwanza week end imeanza kwa fans wa Skylight Band
 
Mashabiki wakicheza kwa kuzungusha duala hapa ni kukata mauno mpaka kieleweke.
 Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao Jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza‬ kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji wa Bendi ya Skylight, Natasha akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zinazombamba Afrika ya Mashariki katika hatua yake ya kukusanya mashabiki ili tu waende sawa aisee huyu jamaa ni hatari jumapili hii atakuwepo pale Escape One Mikocheni bila kukosa sogea taratibu uje ushuhudie vitu kutoka skylight band.
  Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akimtambulisha mpiga gitaa la Soul.
Waimbaji wa kike wakiendelea kutoa burrudani ya nguvu ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni
Mdau Mulle(kulia) akiwa kwennye ukodak  na mmoja wa wapenzi wakubwa wa bendi ya Skylight

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MASHABIKI WAZIDI KUIFANGILIA SKYLIGHT NJOO LEO UPATE VITU VIPYA KUTOKA KWENYE BENDI HIYO
MASHABIKI WAZIDI KUIFANGILIA SKYLIGHT NJOO LEO UPATE VITU VIPYA KUTOKA KWENYE BENDI HIYO
http://2.bp.blogspot.com/-FGwR2Dc4ARo/VmweKvK9YUI/AAAAAAABaGQ/7jHEgPGZuME/s640/DSC_0298.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-FGwR2Dc4ARo/VmweKvK9YUI/AAAAAAABaGQ/7jHEgPGZuME/s72-c/DSC_0298.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/mashabiki-wazidi-kuifangilia-skylight.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/mashabiki-wazidi-kuifangilia-skylight.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago