Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Manispaa ya Ilala washirikiana na ForumCC kuanzisha Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi

Mtaalamu wa Misitu na Mazingira, Kahana Lukumbuzi ambaye alikuwa na jukumu la kutengezeza andiko la uanzishwaji wa mfuko huo, akitoa ...


Mtaalamu wa Misitu na Mazingira, Kahana Lukumbuzi ambaye alikuwa na jukumu la kutengezeza andiko la uanzishwaji wa mfuko huo, akitoa ufafanuzi wa baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye andiko hilo
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Sehemu ya mapendekezo ya namna Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi utakavyokuwa
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Wadau wa mazingira wakifuatilia mkutano huo
Picha zote na Tabianchi
---

Manispaa ya Ilala kwa kushirikiana na ForumCC wako katika hatua za mwisho za uanzishaji wa Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ukiwa na lengo la kukusanya pesa za kukabiliana na changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika eneo hilo

Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda anasema baada ya kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya wadau wa mazingira, mfuko huo utaanza mara moja kabla ya mwaka 2015 kumalizika

Wakati Manispaa ya Ilala ikiwa na jukumu la kusimamia uanzishwaji na uendeshaji wa mfuko huo, ForumCC wao wanajukumu la kutoa msaada wa kitaalamu ili kuhakikisha kuwa mfuko huo unafanikiwa na kufikia lengo lililokusudiwa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Manispaa ya Ilala washirikiana na ForumCC kuanzisha Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
Manispaa ya Ilala washirikiana na ForumCC kuanzisha Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
http://2.bp.blogspot.com/-9X5_OY-ghLc/VmEcppBpepI/AAAAAAAAG9g/iCNR30YlnV8/s640/1.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-9X5_OY-ghLc/VmEcppBpepI/AAAAAAAAG9g/iCNR30YlnV8/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/manispaa-ya-ilala-washirikiana-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/manispaa-ya-ilala-washirikiana-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago