Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA GHAFLA YA MAULID

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na...

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Katibu Msaidizi Mkoa wa Magharibi Kichama Zanzibar Suleiman Mzee (CHARAS) alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar leo Disemba 24,2015 kwa ajili ya kuhudhuria ghafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipowasili nyumbani kwake Migombani Zanzibar leo Disemba 24,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Ghafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akisalimiana na kumfahamisha wake zake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushoto  alipowasili nyumbani kwake Migombani Zanzibar leo Disemba 24,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Ghafla ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA GHAFLA YA MAULID
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA GHAFLA YA MAULID
http://1.bp.blogspot.com/-Iy_CrLbsmvU/Vn0xVTQf6dI/AAAAAAADc1Y/WaUNBgj6mmY/s640/OF1.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-Iy_CrLbsmvU/Vn0xVTQf6dI/AAAAAAADc1Y/WaUNBgj6mmY/s72-c/OF1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago