Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI-CCM NAPE NNAUYE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA

 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema katia ofis...


 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema katia ofisi za magazeti hayo jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.
Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa kampuni ya Magazeti ya Raia Mwema.
 Mkurugenzi wa kampuni ya Raia Mwema Ndugu Mbaraka Islam pamoja na Meneja wa Matangazo wa kampuni ya Raia Mwema Ndugu John Daniel wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye.
--
KATIBU wa NEC (CCM) Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo ametembelea ofisi za kampuni ya Raia Mwema inayotengeneza magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania, kwa lengo la kushukuru na kueleza mikakati ya chama chake
.

Itakumbukwa miezi kadhaa iliyopita kabla ya uchaguzi mkuu Nape, alitembelea vyumba vya habari akianzia na Raia Mwema kueleza pamoja na mambo mengine namna walivyojipanga na uchaguzi ikiwemo kupata mgombea urais.

Akizungumza jana katika ofisi hizo alipokutana na wahariri pamoja na viongozi mbalimbali wa kampuni hiyo alisema, wanafurahishwa na kasi ya Rais John Magufuli, kwa sababu kinachotendeka sasa walikipanga hata kabla ya uchaguzi.

“Tulitaka mtu wa aina hii, haya mabadiliko tuliyarataji hivyo hatushituki kuyaona, tunachotaka kuwaambia wananchi tu ni kuwa baada ya kumaliza serikalini mabadiliko yatahamia kwenye chama,” alisema Nape.  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI-CCM NAPE NNAUYE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI-CCM NAPE NNAUYE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA
http://3.bp.blogspot.com/-ZXeu77mtQnA/Vl7ZwESFNCI/AAAAAAAAr7A/OZksRQUCPM0/s640/15.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-ZXeu77mtQnA/Vl7ZwESFNCI/AAAAAAAAr7A/OZksRQUCPM0/s72-c/15.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/katibu-wa-itikadi-na-uenezi-ccm-nape_2.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/katibu-wa-itikadi-na-uenezi-ccm-nape_2.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago