Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi yaRais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjakaakikagua karakana ya  Shirika la Reli Tanzania (TRL)wakati alipotembelea shirika ...

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjakaakikagua karakana ya  Shirika la Reli Tanzania (TRL)wakati alipotembelea shirika hilo leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka akikagua maeneo mbalimbali wakati alipofanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka akizungumza na waandishi wa habari wakati alipofanya  ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi yaRais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.
--
Na Ally Daud-Maelezo
Dsm Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi yaRais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.
  Katika ziara hiyo Bw. Mwinjaka alikagua karakana za shirika hilo ili kuona utendaji wake na kusisitiza ukarabati wa mebehewa yaliyobaki kumaliziwa ndani ya siku 30.
  Hata hivyo katibu huyo amestushwa na habari ya kuanguka kwa mabehewa 50 ya mafuta yaliyokuwa yanajaribiwa huko Tanga.
  “Nimestushwa na taarifa ya kuanguka kwa mabehewa 50 ya mafuta katika majaribio baada ya kujazwa maji ,yangekuwa yana mafuta ingekua hasara kubwa kwa Tanzania hivyo nataka tatizo hilo lishughulikiwe haraka iwezekanavyo kunusuru mabehewa yaliyobaki .”alisema Mwinjaka

Mbali na hayo Bw.Mwinjaka alisema kwamba reli ambazo zimehifadhiwa katika karakana hizo ziondolewe na zikamalizie ujenzi wa reli ambazo hazijaisha kuliko kukaa bila ya matumizi huku kukiwa na shida ya mataaluma hayo.
  Kwa upande wa Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania Bw.Elias Mshana amesema kwamba wapo katika mchakato wa kumalizizia ukarabati wa mabehewa yaliyobaki pamoja na marekebisho ya reli zilizoharibika na mpaka 31 Desemba mwaka huu zitakua zimetengemaa. “Tunatarajia mpaka tarehe 31 Decemba mwaka huu tutakua tumemaliza kukarabati mabehewa na reli zilizoharibika ili zianze kutumiwa rasmi ili kuleta maendeleo katika Nchi” Alisema Bw. Mshana.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi yaRais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi yaRais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.
http://2.bp.blogspot.com/-xa-KIzABnwY/Vl2rM_k7p2I/AAAAAAADbpc/BGuZpTTLx4U/s640/MP5.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-xa-KIzABnwY/Vl2rM_k7p2I/AAAAAAADbpc/BGuZpTTLx4U/s72-c/MP5.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/katibu-mkuu-wa-wizara-ya-uchukuzi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/katibu-mkuu-wa-wizara-ya-uchukuzi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago