Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA (GPF) YASHIRIKI KUFANYA USAFI CHUO CHA USTAWI WA JAMII KUMUUNGA MKONO RAIS DK.JOHN MAGUFULI

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPFT), Martha Ng'ambi (wa pili kulia), akizungumza na Mkuu wa T...
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPFT), Martha Ng'ambi (wa pili kulia), akizungumza na Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Dk.Abu Mvungi (kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho kushiriki kufanya usafi ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais Dk.John Magufuli la kuyatumia Maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 kufanya usafi. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika hilo, Hilda Ngaja.
Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Dk.Abu Mvungi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la kufanya usafi maeneo mbalimbali ya chuo hicho.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPF), Martha Ng'ambi (kulia), akishiriki kufanya usafi.
Usafi ukiendelea chuoni hapo.
Wanafunzi wa chuo hicho wakiendelea na usafi.

Na Dotto Mwaibale

Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Dk.Abu Mvungi, amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kufanya usafi wakati wote badala ya kusubiri kuhimizwa na viongozi.

Dk.Mvungi alitoa mwito huo wakati akilishukuru Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPF) kwa kuichagua  Taasisi hiyo kufanya usafi ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais Dk.John Pombe Magufuli la kuyatumia Maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 kufanya usafi.

"Niwapongezi GPF kwa kuunga mkono agizo la Rais la kuja kushirikiana nasi kufanya usafi katika taasisi yetu ambapo wito wangu kwa watanzania kila mmoja wetu awe na utamaduni wa kufanya usafi bila ya kusukumwa na viongozi" alisema Dk. Mvungi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation Tanzania (GPF), Martha Ng'ambi alisema waliona vema kufanya usafi katika taasisi hiyo kutokana na kuwa na vijana ambao wanafanyakazi nao ili kuwahamasisha katika tukio hilo kubwa la kitaifa.

"GPF ni shirika linalojishughulisha zaidi na vijana ndio maana tuliona ni vizuri kufanya usafi katika taasisi yenu kwa niaba ya vyuo na taasisi zingine ili kuwashirikisha vijana ambao tunafanya nao kazi" alisema Ng'ambi.

Alisema shirika hilo limekuwa likishilikiana na serikali katika masuala mbalimbali licha ya kuwa bado ni changa hapa nchini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA (GPF) YASHIRIKI KUFANYA USAFI CHUO CHA USTAWI WA JAMII KUMUUNGA MKONO RAIS DK.JOHN MAGUFULI
GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA (GPF) YASHIRIKI KUFANYA USAFI CHUO CHA USTAWI WA JAMII KUMUUNGA MKONO RAIS DK.JOHN MAGUFULI
http://2.bp.blogspot.com/-WhSHGh1mk0M/Vmf5ROorP8I/AAAAAAAAUrY/K3JvVx6m3LU/s640/2.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-WhSHGh1mk0M/Vmf5ROorP8I/AAAAAAAAUrY/K3JvVx6m3LU/s72-c/2.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/global-peace-foundation-tanzania-gpf.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/global-peace-foundation-tanzania-gpf.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago