Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

BALOZI MERO ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA UNIDO UNAOFANYIKA VIENNA, AUSTRIA

Balozi Modest Jonathan Mero, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataiafa na Mashirika mengine ya Kimataifa Geneva na Vie...

Balozi Modest Jonathan Mero, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataiafa na Mashirika mengine ya Kimataifa Geneva na Vienna akiwasilisha hotuba ya Tanazania katika mkutano mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Viwanda Duniani ambao unajadili maendeleo endelevu ya viwanda kama njia mbadala ya kuzikwamua nchi maskini. Mkutano huu unafanyika jijini Vienna, Austria kuanzia tarehe 30 Novemba hadi tarehe 4 Desemba 2015.

Katika hotuba yake, Mhe. Balozi Mero, pamoja na mambo mengine aliwaleza wajumbe wa mkutano huo hatua mbali mbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kukuza viwanda nchini ikiwa ni pamoja na mafanikio ambayo yamefikiwa hadi sasa.

Mhe. Balozi Mero pia alizungumzia juu ya mapitio ya Mpango wa Kitaifa wa Maendeleo wa awamu ya pili (National Development Plan Phase Two) ambao utatekelezwa na Serikali kuanzia 2016/2017 hadi 2020/2021 ambao pamoja na mambo mengine umeweka msisitizo wa kukuza viwanda kwa lengo la kuongeza thamani ya rasimali zetu, kukuza mahitaji ya ndani ya bidhaa za viwandani na kuongeza ajira kupitia viwanda, Sekta nyingine za uzalishaji, huduma duniani.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: BALOZI MERO ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA UNIDO UNAOFANYIKA VIENNA, AUSTRIA
BALOZI MERO ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA UNIDO UNAOFANYIKA VIENNA, AUSTRIA
http://1.bp.blogspot.com/-LHpQUhyispU/VmA8SiG_igI/AAAAAAADbzs/k9EtqaokSyQ/s640/20151203_105716.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-LHpQUhyispU/VmA8SiG_igI/AAAAAAADbzs/k9EtqaokSyQ/s72-c/20151203_105716.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/12/balozi-mero-ashiriki-mkutano-mkuu-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/12/balozi-mero-ashiriki-mkutano-mkuu-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago