Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI,WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70.

Mkuu wa Wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akisalimiana na wananchi alipofanya ziara katika hosptali teule ya Machame na kuzungumza na wafanyaka...

Mkuu wa Wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akisalimiana na wananchi alipofanya ziara katika hosptali teule ya Machame na kuzungumza na wafanyakazi
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza na wafanyakazi wa Hosptali teule ya Machame (hawapo pichani) .
Baadhi ya iongozi wa Hosptali hiyo na viongozi wa serikali wa wilaya ya Hai.
Wafanyakazi wa Hosptali teule ya Machame .
Mkurugenzi wa Hosptali hiyo,Dkt Saitore Laizer akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya madktari wa hosptali teule ya Machame.
Baadhi ya watumishi wa Hosptali hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha wafanyakazi katika hosptali ya Machame ,Dkt Fredrick Muro akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya wafanyakazi.
Mkuu wa wilaya akiondoka katika hosptali hyo mara baada ya kumalizika kwa kikao na watumishi .
--
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

HALMASHAURI ya wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro, imewasimamisha kazi watumishi wake wanne kwa tuhuma za kughushi hati za mishahara na kughushi nyaraka zilizofanikisha kuchukua jumla ya kiasi cha sh Mil 73.4 zikiwemo fedha za malipo ya muda wa kazi wa ziada kwa madaktari na wauguzi wa Hospitali teule ya Machame.

Tuhuma hizo pia zina mtaja Mweka hazina wa Hosptali hiyo anayedaiwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri hiyo kufanya ubadhirifu wa fedha na kwamba tayari Uongozi wa hosptali hiyo iliyo chini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Kaskazini ,umekwisha  mfukuza kazi.

Watumishi wawili kati ya wanne wamesimamishwa kazi kutokana na tuhuma mbili tofauti,moja ni kughushi hati za mishahara,vitambulisho na sahihi za watumishi  waliostaafu  na wengine kuacha kazi na kuchukua mikopo wa Mil 35 katika benki ya CRDB kwa majina ya watumishi walioacha kazi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI,WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70.
WATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI,WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70.
http://2.bp.blogspot.com/-78vlpjPNxU4/VkVzDLN4hkI/AAAAAAAAWbM/g8T3cvA-Uog/s640/IMG_8406%2B%25281024x683%2529.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-78vlpjPNxU4/VkVzDLN4hkI/AAAAAAAAWbM/g8T3cvA-Uog/s72-c/IMG_8406%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/watumishi-wanne-halmashauri-ya-wilaya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/watumishi-wanne-halmashauri-ya-wilaya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago