Mwandishi wetu Niccomediatz -- TUNAOMBA RADHI KWA HABARI ILIYOTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII YA MICHUZI BLOG, MO BLOG NA NICCOMED...

Mwandishi wetu Niccomediatz
--
TUNAOMBA
RADHI KWA HABARI ILIYOTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII YA MICHUZI BLOG,
MO BLOG NA NICCOMEDIATZ BLOG ITAYOHUSU MMEA WA ROZELA HAUFAI KWA
MATUMIZI YA BINADAMU ILIKUWA SIO SAHIHI
--
Sampuli
iliyochunguzwa na Mkemia mkuu wa serikali Lab no. 241|2013 kwa jina la
Tanzaone Red Jea Juice ndio iliyo chunguzwa na kuonekana kuwa haifai kwa
matumizi ya binadamu na haina uhusiano wowote na Rozera na matumizi
yake.
Akizungumza
na waandishi wa habari Tabibu Mkuu wa Tanzaone Dk.Marwa aliwaomba
radhi wakala wa mkemia mkuu wa Serikali, watanzania wote na serikari kwa
usumbufu walioupata kuhusu nukuu potofu ya habari kuhusu mmea wa Rozela
kuwa haufai kwa bianamu.
Hata
hivyo amesema Dawa Tanzaone Life Cell Cream kwa matumizi ya uzazi kwa
akina mama na Tanzaone Antviral kwa wongojwa wa HIV zilizo chunguzwa na
mkemia mkuu zilionyesha kuwa zinafaa kwa matumizi ya binadamu.
Imetolewa na Tabibu-Mkuu wa Tanzania Herbal Clinic (Tanzaone) Marwa Ndege Gonzaga Tel:0755 360508 -0715 360508