Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TRA Yajivunia Kasi Katika Ukusanyaji Kodi

Rished Bade - KAMISHNA MKUU-TRA ---  ISO 9001:2008 CERTIFIED TAARIFA YA MAKUSANYO YA KODI Mamlaka ya Mapato Tan...

Rished Bade-KAMISHNA MKUU-TRA
---

 ISO 9001:2008 CERTIFIED

TAARIFA YA MAKUSANYO YA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya shilingi  trililion 3.77 kuanzia mwezi Julai hadi Oktoba 2015 ambayo ni sawa na asilimia  97.6. ya lengo la makusanyo ya sh trilioni 3.87 ikiwa ni jitihada za TRA kutekeleza mkakati wa serikali ambao unaitaka kukusanya Ths . Trililioni 12.3 kwa mwaka wa fedha 2015/2016. 

Kwa mujibu wa Kamishna  Mkuu wa TRA Rished Bade, mwezi Julai TRA ilikusanya kiasi cha shilingi bilioni 849,582.9 ambacho ni asilimia 99.4 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 854,922.9.

Mwezi Agosti TRA ilikusanya kiasi cha shilingi bilioni 890,536.7 ambacho ni asilimia 101.5 ya lengo la kukusanya shilingi biilioni 876,974.2 .ambapo mwezi Septemba jumla ya shilingi trilioni 1,067,888.3 zilikusanywa ikiwa ni asilima 91.7 ya lengo trilioni 1,163,999.4 kwa mwezi mwezi Oktoba TRA  iilkusanya shilingi bilioni 970,089.6 ikiwa ni asilima 99.3 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 976,441.5.

Taarifa ya mwenendo wa makusanyo ilipitishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya TRA katika kikao cha bodi kilichofanyika jana tarehe 10 Novemba 2015 katika ofisi za makao makuu ya TRA” amesema Bw. Bade.

Mafanikio katika makusanyo haya yametokana na mikakati madhubuti iliyowekwa na mamlaka baada ya kusaini mkataba na Waziri wa Fedha ambapo Kamishna Mkuu alisaini mkataba na kila Mkuu wa Idara na wakuu wa Idara kusaini mikataba na wafanyakazi walioko chini yao ili kila mfanyakazi kuwajibika ipasavyo.

Wito wa TRA ni kwa mfanyabiashara na wadau wote wa kodi kutimiza wajibu wao wa kulipa kodi kwa hiari ili kuchangia pato la taifa.

Sambamba na hilo TRA imepokea kwa furaha sana wito wa Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli wa kuhimiza ukusanyaji wa mapato bila woga na bila kumwonea mtu.


“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”

Rished Bade


KAMISHNA MKUU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TRA Yajivunia Kasi Katika Ukusanyaji Kodi
TRA Yajivunia Kasi Katika Ukusanyaji Kodi
http://2.bp.blogspot.com/-8PIqV3WVX1w/VkNAlDiJHMI/AAAAAAADa2I/v5TOcpYLvKg/s320/45.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-8PIqV3WVX1w/VkNAlDiJHMI/AAAAAAADa2I/v5TOcpYLvKg/s72-c/45.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/tra-yajivunia-kasi-katika-ukusanyaji.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/tra-yajivunia-kasi-katika-ukusanyaji.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago