Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TANGAZO KWA WASAMARIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nye...Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba utume mchango wako kwa mama mzazi wa mtoto huyo Eunice kwa namba0713 034866 au kwa namba 0715 083055

Mungu awabariki wote mtakaochangia kwa njia moja au nyingine.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TANGAZO KWA WASAMARIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA
TANGAZO KWA WASAMARIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA
http://1.bp.blogspot.com/-CLSjlE6R4zk/VjYQmWjGcLI/AAAAAAAID2o/n_pkPSf_Oxw/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-CLSjlE6R4zk/VjYQmWjGcLI/AAAAAAAID2o/n_pkPSf_Oxw/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/tangazao-kwa-wasamaria-wema-mtoto.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/tangazao-kwa-wasamaria-wema-mtoto.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago