Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

TAARIFA KUTOKA IKULU:AIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA (TADWU)

  Marehemu Rashid Salehe enzi za uhai wake. --   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anamtumia sa...

 Marehemu Rashid Salehe enzi za uhai wake.
--
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anamtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Madereva Tanzania (TADWU) kufuatia kifo cha aliyekua Katibu Mkuu wa Chama hicho Bw. Rashid Salehe kilichotokea Tarehe 20 Novemba, 2015 katika Hospitali ya Taifa Mhimbili.

Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha kwa kupigania uanzishwaji wa Chama Cha Madereva na kusimama kidete kutetea haki zao.

"Nawatakia moyo wa uvumilivu familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki,  madereva na wengine wote ambao wameguswa na kifo cha Rashid Salehe na wote tuungane kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi".
 
Dr Magufuli anaungana na wote walioguswa na msiba huo katika kipindi hiki kigumu na kwamba taifa litauenzi mchango mkubwa alioutoa marehemu Rashid Salehe.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano, IKULU
23 Novemba, 2015.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: TAARIFA KUTOKA IKULU:AIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA (TADWU)
TAARIFA KUTOKA IKULU:AIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA (TADWU)
http://4.bp.blogspot.com/-cKMU0Sku5VI/VlMUF-QLPnI/AAAAAAADbXc/7FHTLuUUzko/s640/DEREVA22.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-cKMU0Sku5VI/VlMUF-QLPnI/AAAAAAADbXc/7FHTLuUUzko/s72-c/DEREVA22.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/taarifa-kutoka-ikuluais-magufuli-atuma.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/taarifa-kutoka-ikuluais-magufuli-atuma.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago