Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU

  JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Jose...

  JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania
 Rais Jakaya Kikwete akiongea jambo na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunnyange wakati akielelekea kwenye jukwaa kwa ajili ya shughuli ya kumuaga rasmi
 Rais Kikwete akipokea saluti kwa mara ya mwisho kama Rais huku wimbo wa Taifa ukipigwa
 Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan
 Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda, Katibu wa Baraza la Mawaziri Mhe. Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
 Rais Kikwete akienda kukagua gwaride la heshima
 Rais Kikwete akikagua gwaride lililojipanga katika muundo wa Omega
 Rais Kikwete akikagua gwaride lililojipanga katika muundo wa Omega
 Bendera (Presidential Standard) ya Rais Kikwete ikitelemshwa kuashiria ukomo wa Urais wake
 Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitelemka jukwaani baada ya shughuli rasmi za kumuaga
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwte akipeana mikono na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali
 Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu wakisubiri Rais wa awamu ya Tano kula kiapo
 Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika Anne Makinda, Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Gerson Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakisubiri muda wa kuapishwa Rais na Makamu wa Rais
 Viongozi wa dini Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally na   Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa KKKT
 Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu wakisubiri Rais wa awamu ya Tano kula kiapo
 Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo
 Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini baada ya kula kiapo
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuangalia Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiweka saini kwenye hati yake ya kiapo
 Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea kitendea kazi toka kwa Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman .Picha na IKULU

Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa na Endelea.,....

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU
SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU
http://2.bp.blogspot.com/-BEz-oTTMmwc/VjycVW0Yv8I/AAAAAAADaos/SuJjIKoevXY/s640/ma2.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-BEz-oTTMmwc/VjycVW0Yv8I/AAAAAAADaos/SuJjIKoevXY/s72-c/ma2.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/sherehe-za-kuapishwa-rais-wa-awamu-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/sherehe-za-kuapishwa-rais-wa-awamu-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago