Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SAMWEL SITTA NA WENZAKE WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA USPIKA

  Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhu...

 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
 Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Karagwe Gosbert Blandes akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 George Nangale akipitia fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kukabidhiwa na 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib katika ofisi ndogo za CCM Lumumba.
Banda Sonoko akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib 

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib akimkabidhi fomu Ndugu Simon G. Rubugu Hawa ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu.Picha na Adam Mzee

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SAMWEL SITTA NA WENZAKE WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA USPIKA
SAMWEL SITTA NA WENZAKE WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA USPIKA
http://2.bp.blogspot.com/-F9aMjZbxd8M/VkNDXGnmd9I/AAAAAAADa2U/Qz7h5v0VDhQ/s640/1.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-F9aMjZbxd8M/VkNDXGnmd9I/AAAAAAADa2U/Qz7h5v0VDhQ/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/samwel-sitta-na-wenzake-waanza-kuchukua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/samwel-sitta-na-wenzake-waanza-kuchukua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago