Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:WADAU MBALIMBALI WAENDELEA KUJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA NAFASI YA USPIKA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR LEO

  Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai akijaza maelezo kwenye kitabu maalum cha kujisajili kabala ya kuchukua fomu za ku...

  Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai akijaza maelezo kwenye kitabu maalum cha kujisajili kabala ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib (kushoto)akimkabidhi fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbunge wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai.
  Balozi Philip Marmo(kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  Balozi Philip Marmo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu ambapo aliwaambia kuwa amejipanga kuendesha bunge kisasa linaloendana na wakati na teknolojia.
  Dr. Didas Masaburi (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
 Ritta Mlaki akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib.
 Mbunge wa Jimbo la Chato Medadi Majogolo Kalemani (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Dr.Tulia Arkson (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Veraikunda Urio akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Ndugu Julius Pawatila (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
Ndugu Simon Rubugu (kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib.
Ndugu Watson Mwakalila (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib.Picha na Bashir Nkoromo)
 
Haya ndio majina ya waliochukua fomu leo;
Ndugu Julius Pawatila
Ndugu Job Ndugai
Dk. Tulia Arkson
Dk. Medadi Majogolo Kalemani
Dk. Didas Masaburi
Ritta Mlaki
Veraikunda Urio

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:WADAU MBALIMBALI WAENDELEA KUJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA NAFASI YA USPIKA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR LEO
PICHA:WADAU MBALIMBALI WAENDELEA KUJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA NAFASI YA USPIKA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR LEO
http://4.bp.blogspot.com/-6RNNWdd5BpQ/VkSQ68VC3FI/AAAAAAADa5U/q2WRoo_Cjrs/s640/5.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-6RNNWdd5BpQ/VkSQ68VC3FI/AAAAAAADa5U/q2WRoo_Cjrs/s72-c/5.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/pichawadau-mbalimbali-waendelea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/pichawadau-mbalimbali-waendelea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago