Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA

 Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha...

 Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri Mkuu kwenye ikulu ndogo ya Chamwinomjini Dodoma Novemba 20, 2015
 Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
 Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi baada ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa  kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Sheikh Mtopa baada ya kuapishwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015.
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015.

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa  kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015.Picha na Ofisi ya Maziri Mkuu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
PICHA:MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
http://1.bp.blogspot.com/-53t9uaFMpbk/Vk9AfwKjCUI/AAAAAAADbO4/EMx4Kh83TNY/s640/lu01.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-53t9uaFMpbk/Vk9AfwKjCUI/AAAAAAADbO4/EMx4Kh83TNY/s72-c/lu01.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/pichamatukio-mbalimbali-kutoka-sherehe.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/pichamatukio-mbalimbali-kutoka-sherehe.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago