Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU DK JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA KUIMARISHA CHAMA

 Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye na Katibu ...

 Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye na Katibu wa Halmashauri Kuu Oganaizesheni Ndg Mohamed Seif Hatibu katika ofisi yake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo ya Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizngumza na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimnyaki Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha alipofika kumtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya CCM, ofisi ndogo za Lumumba Jijini Dar es salaam leo tar 26th Nov 2015.
 Mlemavu wa Viungo Ndugu Elias Ismail Mollel kutoka Arusha akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akitoka ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, Lumumba - Dar es salaam jioni ya leo tarehe 26th Nov 2015,
 Mwenyekiti wa CCM na Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mlemavu wa miguu Ndg Mashishanga Masanja kutoka Nzega alipokuwa akitoka ofisini kwake Lumumba Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwanasheria wa CCM Ndg Godwin Kunambi nje ya Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es salaam, leo tarehe 26th Nov 2015.Picha na Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU DK JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA KUIMARISHA CHAMA
MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU DK JAKAYA KIKWETE AENDELEA NA KAZI YA KUIMARISHA CHAMA
http://4.bp.blogspot.com/-VOpwY-OoxY4/VlcNTpxDeNI/AAAAAAADbgI/t0vwb7_m1UQ/s640/jakaya.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-VOpwY-OoxY4/VlcNTpxDeNI/AAAAAAADbgI/t0vwb7_m1UQ/s72-c/jakaya.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/mwenyekiti-wa-ccm-na-rais-mstaafu-dk.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/mwenyekiti-wa-ccm-na-rais-mstaafu-dk.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago