Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mussa Hassan Zungu na Daniel Nswanzingwanko Wachukua fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Hassan Zungu akijaza fomu za kugombea unaibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.   ...

  Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Hassan Zungu akijaza fomu za kugombea unaibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Hassan Zungu (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib Mbunge
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Hassan Zungu akionesha fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa waandishi wa habari waliojitokeza kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba.
  Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akiandika taarifa zake kwenye kitabu maalum cha kusajili majina ya waliochukua fomu za Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akionesha fomu ya kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mara baada ya kuzichukua katika ofisi ya Oganaizesheni CCM Lumumba.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mussa Hassan Zungu na Daniel Nswanzingwanko Wachukua fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mussa Hassan Zungu na Daniel Nswanzingwanko Wachukua fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
http://4.bp.blogspot.com/-znkeZk-y3lI/VkX2CPzf3sI/AAAAAAADa_U/H4JAFslqz9I/s640/4.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-znkeZk-y3lI/VkX2CPzf3sI/AAAAAAADa_U/H4JAFslqz9I/s72-c/4.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/mussa-hassan-zungu-na-daniel.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/mussa-hassan-zungu-na-daniel.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago