Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI CHA MAKUMBUSHO.

Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, a...

Kutoka kulia ni Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona, Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya, aliyeshiriki shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe, na Evelina Mageni  ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015.
Meneja wa Kampeni Haki ya Uchumi kutoka Oxfam Eluka Kibona akizungumzia juu ya mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Novemba 20 2015 kaika Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam
 Ofisa msaidizi wa Programu kutoka Forum CC Jonathan Sawaya akizungumzia kuhusu mkutano mkubwa wa mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika Ufaransa.
 Evelina Mageni  ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 akizungumza umuhimu wa wakulima kushirikishwa katika kutunga sera, utunzaji wa ardhi kwa ajili ya kilimo.
Kushoto aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula 2015 Edna Kiogwe akichangia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuelekea mkutano mkuu wa Tabia nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI CHA MAKUMBUSHO.
MKUTANO MKUBWA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KUFANYIKA 20 NOVEMBA 2015, KIJIJI CHA MAKUMBUSHO.
http://1.bp.blogspot.com/-lwNciYIrCAo/Vki9qTR9SRI/AAAAAAAAeEk/i8qjXbB1f14/s640/6.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-lwNciYIrCAo/Vki9qTR9SRI/AAAAAAAAeEk/i8qjXbB1f14/s72-c/6.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/mkutano-mkubwa-wa-mabadiliko-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/mkutano-mkubwa-wa-mabadiliko-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago