Mh. Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara n...

Mh.
Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka
nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine
nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam juzi Novemba 4, 2015.

Muhubiri
wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, akizungumza jambo na Mh.
Edward Lowassa pamoja na viongozi wakuu wa UKAWA, Mh.Freeman Mbowe, Mh.
James Mbatia na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.Picha na Othman Michuzi