Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Katibu Mkuu akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maa...


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya China katika masuala ya Afrika, Balozi Zhong Jianhua alipotembelea Wizarani tarehe 17 Novemba, 2015.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bw. Medard Ngaiza wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Zhong Jianhua (hawapo pichani)
Maafisa waliofuatana na Balozi Zhong Jianhua (hayupo pichani) nao wakifuatilia mazungumzo
Mazungumzo yakiendela

...Mkutano wa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Mauaji ya Kimbari 

Balozi Mulamula (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Mauaji ya Kimbari, Bi. Felistas Mushi alipofika Wizarani kwa mazungumzo. 
Mazungumzo yakiandelea
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Eva Ng'itu wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Bi. Mushi (hawapo pichani)
Balozi Mulamula akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi Mushy kuhusu utendaji wa Kamati hiyo.

Balozi Mulamula akiagana na Bi. Mushi baada ya mazungumzo yao.Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Katibu Mkuu akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani
Katibu Mkuu akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani
http://4.bp.blogspot.com/-N_FX2yn8pjA/Vkspc0h9mNI/AAAAAAAAkTo/9NZdxzju9MY/s640/DSC_0594.JPG
http://4.bp.blogspot.com/-N_FX2yn8pjA/Vkspc0h9mNI/AAAAAAAAkTo/9NZdxzju9MY/s72-c/DSC_0594.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/katibu-mkuu-akutana-kwa-mazungumzo-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/katibu-mkuu-akutana-kwa-mazungumzo-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago