Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KANDA YA KASKAZINI WAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiseri...

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,Honorata Nasuwa akizungumza na wanahabari(hawako pichani ) juu ya uzinduzi huo,kushoto kwake ni Afisa Ushawishi na utetezi (KWIECO) na mratibu wa maadhimisho hayo kanda,Hilary Tesha.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini.
Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia taarifa juu ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya siku 16 zakupinga ukatili na aliyekuwa Mwenyekiti wa dawati la Jinsia,Grace Lyimo akizungumza jambo katika kikao cha kamati hiyo na wanahabari.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa hiyo.Picha Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KANDA YA KASKAZINI WAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.
KANDA YA KASKAZINI WAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.
http://2.bp.blogspot.com/-FnAchglQSks/VlKY7n0MP5I/AAAAAAAAW3E/R5pcgKeMg1A/s640/IMG_9380%2B%25281024x683%2529.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-FnAchglQSks/VlKY7n0MP5I/AAAAAAAAW3E/R5pcgKeMg1A/s72-c/IMG_9380%2B%25281024x683%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/kanda-ya-kaskazini-wazindua-siku-16-za.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/kanda-ya-kaskazini-wazindua-siku-16-za.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago