Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

JOB NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AAPISHWA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Mhe. Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, akiapishwa muda mchache uliopita baada ya kuibuka kidedea kwa a...

Mhe. Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, akiapishwa muda mchache uliopita baada ya kuibuka kidedea kwa asilimia 70 ya kura zilizopigwa na Wabunge wateule katika Kikao cha kwanza cha Bunge hilo la 11, mjini Dodoma muda huu.Ndugai ameibuka kidedea baada ya kuwagalagaza wapinzani wake wengine 7 waliokuwa wakiwania kiti hicho, ambapo mgomea mmoha kati yao Hashim Lungwe hakutokea ukumbini hapo wakati akiitwa kwa ajili ya kujieleza na kuomba kura mbele ya Wabunge.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: JOB NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AAPISHWA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
JOB NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AAPISHWA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
http://1.bp.blogspot.com/-gCXl2eDzjxA/Vksxr6QJj2I/AAAAAAADbH4/wciGhGNEMz4/s640/Ndugai.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-gCXl2eDzjxA/Vksxr6QJj2I/AAAAAAADbH4/wciGhGNEMz4/s72-c/Ndugai.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/job-ndugai-achaguliwa-kuwa-spika-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/job-ndugai-achaguliwa-kuwa-spika-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago