Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA

Na Emanuel Madafa,Mbeya IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 ...Na Emanuel Madafa,Mbeya
IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014  ambapo ni sawa na asilimia 5.7.
Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja.
Akizungumza jijini Mbeya mratibu wa huduma za afya ya uzazi na mtoto mkoani humo Ndugu Prisca  Butuyuyu  amesema kutokana na usimamizi huo wameweza kufuatilia  mambo mbalimbali yakiwemo ya upatikanaji wa dawa .
Amesema hatua nyingine iliyofanikisha zoezi hilo ni pamoja na kushughulikia  mapungufu  na changamoto ambazo zimekuwa zikijitokeza katika vituo vya huduma.
Amesema  sanjali na mafanikio hayo pia wanatoa pongezi za dhati kwa shirika la UNICEF  kwa kuendelea kusaidia kutoa fedha za usimamizi  shirikishi katika eneo la huduma za afya na uzazi na mtoto.
Butuyuyu amesema kuwa baadhi ya halimashauri  zimeweza kuendesha semina  mbalimbali kuhusu uzazi salama ambazo ni huduma baada ya kujifungua  pamoja na huduma muhimu kwa watoto wachanga.
Hata hivyo  amesema shirika la UNICEF wakishirikiana na KOICA  wamekuja na mpango mwingine wa miaka 4 ya uboreshaji huduma za afya ya uzazi na mtoto.
Mwisho

 JAMIIMOJABLOG

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA
IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA
http://3.bp.blogspot.com/-EV6BTyzD0nw/Vkm8NNkJTvI/AAAAAAAAUps/dRYrmSsES48/s640/VIFO%2BWATOTO.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-EV6BTyzD0nw/Vkm8NNkJTvI/AAAAAAAAUps/dRYrmSsES48/s72-c/VIFO%2BWATOTO.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/idadi-ya-vifo-vya-watoto-wachanga.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/idadi-ya-vifo-vya-watoto-wachanga.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago