Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

BOMOABOMOA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM WANANCHI KUTAHARUKI

Dereva wa  Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani ...


Dereva wa  Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini
Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo)  kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao
Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udonge Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari
Mkazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa 
Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari kwakwenda kutafuta hifadhi
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu
Wahanga na vyombo vyao
Anayedaiwa kuwa ni Askari kanzu wapili kulia akipandishwa Gari  akihusishwa kuwatupia mawe Mgambo ambapo alisikika akisema mimi nilikuwa nikiwapa muongozo.

Mkazi wa Kurasini  akijaribu kuokoa mbao za gofu hilo baada ya kubomolea
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu akiwa amejiinamia baada ya kunaswa kidao usoni akiwa amevishwa pingu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: BOMOABOMOA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM WANANCHI KUTAHARUKI
BOMOABOMOA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM WANANCHI KUTAHARUKI
http://2.bp.blogspot.com/-tVza7Z2_Qk0/VknuPc9hwdI/AAAAAAAATzs/frmUcLvwDI4/s640/_DSC0069.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-tVza7Z2_Qk0/VknuPc9hwdI/AAAAAAAATzs/frmUcLvwDI4/s72-c/_DSC0069.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/bomoabomoa-kurasini-jijini-dar-es.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/bomoabomoa-kurasini-jijini-dar-es.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago