Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Sa...


 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa kumpongeza  Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa ushindi alioupata katika katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25. Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa mkoa huo, Juma Simba na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida ambao walikuwa wajumbe waalikwa. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Katibu wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Mtulia akizungumza katika mkutano wa kumpongeza Dk Magufuli kwa ushindi.
Wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika kikao

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI
BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI
http://1.bp.blogspot.com/-u5UpdKdTpvM/VjoThamYDvI/AAAAAAAA8A0/Z4IST5mtk98/s640/01.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-u5UpdKdTpvM/VjoThamYDvI/AAAAAAAA8A0/Z4IST5mtk98/s72-c/01.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/baraza-la-wazee-dar-lampongeza-dk.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/baraza-la-wazee-dar-lampongeza-dk.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago