Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

BALOZI MUSHY AMUAGA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimk...


Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini Dkt. Jama Gulaid aliyemaliza muda wake wa Uwakilishi nchini. Moja ya zawadi alizopokea kutoka kwa Balozi Mushy ni Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vinavyo patikana hapa nchin. Pia katika mazungumzo yao, Balozi Mushy alimpongeza Dkt. Gulaid kwa kuiwakilisha vyema   UNICEF hapa nchini. kwa Upande wa Dkt. Gulaid naye alitumia fursa ya kumshukuru Balozi Mushy kwa niaba ya Wizara  na Serikali kwa ujumla kwa Ushirikiano mkubwa alioupata katika kipindi chote cha uwakilishi wa UNICEF hapa nchini.   
Balozi Mushy akizungumza na Dkt. Gulaid
Dkt. Gulaid naye akizungumza huku Balozi Mushy akimsikiliza.Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: BALOZI MUSHY AMUAGA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
BALOZI MUSHY AMUAGA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
http://2.bp.blogspot.com/-MJ2zdeIZipU/VlWOdtHoDBI/AAAAAAAAkck/TUpTBIXPgFY/s640/719A0087.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-MJ2zdeIZipU/VlWOdtHoDBI/AAAAAAAAkck/TUpTBIXPgFY/s72-c/719A0087.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/balozi-mushy-amuaga-mwakilishi-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/balozi-mushy-amuaga-mwakilishi-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago