Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

AUDIO Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani wamekubaliana uchaguzi Mkuu kurudiwa tena.

Makamu wa pili  wa rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Idi  -- Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi ameimabia...

Makamu wa pili  wa rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Idi 
--

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi ameimabia RFI Kiswahili kuwa, viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani wamekubaliana uchaguzi Mkuu kurudiwa tena. Hata hivyo, Makamu huyo wa pili amedokeza kuwa hadi sasa haijaafikiwa ikiwa tume ya sasa ya Uchaguzi inayoongozwa na Mwenyekiti Salim Jecha Salim aliyefuta matokeo hayo itakubaliwa kusimamia uchaguzi mpya. Katika hatua nyingine, kiongozi huyo ameeeleza kuwa rais Ali Mohamed Shein anaendelea kuwa uongozini kikatiba. Wananchi wa Zanzibar wanasubiri uamuzi wa viongozi wa kisiasa kuhusu mvutano huu wa kisiasa katka visiwa hivyo. --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: AUDIO Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani wamekubaliana uchaguzi Mkuu kurudiwa tena.
AUDIO Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi:Viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani wamekubaliana uchaguzi Mkuu kurudiwa tena.
http://3.bp.blogspot.com/-diYN_EM94cI/VlcIoODCVDI/AAAAAAADbfY/cE_f5ucIsUo/s640/268.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-diYN_EM94cI/VlcIoODCVDI/AAAAAAADbfY/cE_f5ucIsUo/s72-c/268.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/11/audio-kutoka-tume-ya-taifa-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/11/audio-kutoka-tume-ya-taifa-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago