Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SOMA UFAFANUZI WA IDADI HALISI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA MUJIBU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya v...

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili. 

1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na

 2. Namna SAHIHI ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.

 i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450 
ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450 ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE. Itakuwa hivi. 

Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:- 450+450+450 = 1300 1900-1300 = 550 550 gawanya kwa 2 = 275 KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900 PATAKUWA NA VITUO VITANO (5) 1. 

KITUO CHA KWANZA WATU 450 2. KITUO CHA PILI WATU 450 3. KITUO CHA TATU WATU 450 4. KITUO CHA NNE WATU 275 5. KITUO CHA TANO WATU 275 JUMLA 1900 ZINGATIA Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SOMA UFAFANUZI WA IDADI HALISI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA MUJIBU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
SOMA UFAFANUZI WA IDADI HALISI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA KWA MUJIBU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
https://i.ytimg.com/vi/GafZrdR-eTs/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/GafZrdR-eTs/default.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/soma-ufafanuzi-wa-idadi-halisi-ya-vituo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/soma-ufafanuzi-wa-idadi-halisi-ya-vituo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago