Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SOMA SALAMU ZA POLE TOKA CHADEMA ARUSHA KUHUSINA NA KIFO CHA MGOMBEA UBUNGE WA ACT-WAZALENDO ARUSHA MJINI

(CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Ndugu Estomih Jona...



(CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Ndugu Estomih Jonas Mallah ambaye alipata kuwa Mwanachama na Diwani Kata ya Kimandolu kupitia CHADEMA katika Wilaya hii.
 
Tumepokea kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Ndugu Estomih Jonas Mallah ambaye tumejulishwa kuwa aliaga dunia usiku wa kuamkia Ijumaa, Oktoba 9, 2015, katika Hospitali ya Rufaa- KCMC, Mkoani Kilimanjaro. Ni dhahiri Wanademokrasia tumeondokewa na mtu muhimu katika kipindi
muhimu.
 
Tunatuma salamu za dhati kuomboleza kifo cha Ndugu yetu Estomihi Jonas Mallah kwa familia, Viongozi na Wanachama wa chama cha ACT- Wazalendo.
 
Kwa pamoja tunamwomba Mungu mwenyeenzi, Mwingi wa Rehema, atupe subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya Marehemu Estomih Jonas Mallah. Amen

Lewis Emmanuel Kopwe
Kaimu Mwenyekiti
Wilaya ya Arusha Mjini
10/09/201

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SOMA SALAMU ZA POLE TOKA CHADEMA ARUSHA KUHUSINA NA KIFO CHA MGOMBEA UBUNGE WA ACT-WAZALENDO ARUSHA MJINI
SOMA SALAMU ZA POLE TOKA CHADEMA ARUSHA KUHUSINA NA KIFO CHA MGOMBEA UBUNGE WA ACT-WAZALENDO ARUSHA MJINI
http://1.bp.blogspot.com/-oyvkrFzKlxg/Vhuw7GKb3YI/AAAAAAADZN8/aPe7n-ld4Ew/s200/index.png
http://1.bp.blogspot.com/-oyvkrFzKlxg/Vhuw7GKb3YI/AAAAAAADZN8/aPe7n-ld4Ew/s72-c/index.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/soma-salamu-za-pole-toka-chadema-arusha.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/soma-salamu-za-pole-toka-chadema-arusha.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago