Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Serikali Ya Magufuli Imeshaingia, Kazi Lazima Iendelee..!

  Ndugu zangu, Muda mfupi uliopita nimemwona Jaji Lubuva akimtangaza John Pombe Magufuli kuwa ndiye mgombea urais aliyewashinda wenzak...

 
Ndugu zangu,
Muda mfupi uliopita nimemwona Jaji Lubuva akimtangaza John Pombe Magufuli kuwa ndiye mgombea urais aliyewashinda wenzake wote.

Afrika hakuna fungate ( Honeymoon) ya kuingia Ikulu. Kuwatumikia watu zaidi ya milioni 40 si kazi nyepesi. Kuwatumikia waliochagua na ambao hawakumchagua. Wanaompenda na wanaomchukia. Wote ni watu wake.

Na siku zote, Rais ni mmoja lakini kazi ya urais si ya mtu mmoja. John Magufuli anatakiwa sasa kujichimbia kupanga kikosi chake cha kazi ( Mawaziri).

Itakumbukwa, kuwa Magufuli alishawaambia wapiga kura kuwa mawaziri wake watakuwa wachache lakini wachapa kazi.

Hongera Sana John Pombe Magufuli na Kila La Heri kwenye kuifanya kazi ya kuiongoza Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, na watu wake.
Maggid,
Iringa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Serikali Ya Magufuli Imeshaingia, Kazi Lazima Iendelee..!
Serikali Ya Magufuli Imeshaingia, Kazi Lazima Iendelee..!
http://3.bp.blogspot.com/-ryp21ufFeYs/VjIiJHuO4gI/AAAAAAADaZQ/CXkCSZo8fJg/s640/20151029060849.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-ryp21ufFeYs/VjIiJHuO4gI/AAAAAAADaZQ/CXkCSZo8fJg/s72-c/20151029060849.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/serikali-ya-magufuli-imeshaingia-kazi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/serikali-ya-magufuli-imeshaingia-kazi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago