Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA NA WAJUKUU

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka 65 ya kuzaliwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na miaka 55 ya kuzaliwa mdogo wake Yusufu...

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka 65 ya kuzaliwa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na miaka 55 ya kuzaliwa mdogo wake Yusufu Mrisho Kikwetejuzi jijini Dar es salaam. Rais Kikwete na mdogo wake walisherehekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata na kula keki na wajukuu wao na wa jamaa, ndugu na marafiki waliowaalikwa kwenye sherehe hii fupi iliyojaa furaha na bashasha.
Keki
Wajukuu wakimchukua babu wakamwimbie na kukata naye keki
Mjukuu akiogoza wajukuu wenzie kumwimbia babu
Wajukuu wakimwimbia babu
Wajukuu wakimsaidia babu kupuliza mishumaa
Babu akikata keki huku wajukuu wakiisubiri kwa hamu
Wajukuu wakiendelea kusubiri keki
Babu akiwalisha wajukuu keki
Kila mjukuu alipata keki
Keki ya babu taaamuu.....
Mufti Mkuu wa Taanzania na wageni wengine waalikwa wakishuhudia babu akiwalisha keki wajukuu
Sasa ni zamu ya babu kulishwa keki na wajukuu
 "....We love you babu..."
Karibu keki babu...
Babu akiendelea kulisha keki wajukuu
Bibi, Mama Salma Kikwete, akimsaidia Babu kuhakikisha kila mjukuu kapata keki
Kila mjukuu anapata keki
Babu na bibi wakiendelea kuandaa keki
Selfie zilikuwepo pia

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA NA WAJUKUU
RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA AKIWA NA WAJUKUU
http://3.bp.blogspot.com/-eAJjLgrwTew/VhWVJpUl1RI/AAAAAAAH9dw/5BiAS1SUwGc/s640/hb1.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-eAJjLgrwTew/VhWVJpUl1RI/AAAAAAAH9dw/5BiAS1SUwGc/s72-c/hb1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-aliposherehekea.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-aliposherehekea.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago