Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MWISHO AKIWA RAIS KUZIMA MWENGE WA UHURU, MJINI DODOMA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa mwaka huu, wakati wa sherehe za Kilele ch...

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa mwaka huu, wakati wa sherehe za Kilele cha kuzima mwenge zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. 

Sherehe hizo zilifanyika sambamba na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambapo Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

 Rais Jakaya Kikwete, akiwa namwenge huo baada ya kukabidhiwa rasmi. Kushoto kwake ni Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

 Akipiga picha ya kumbukumbu na wakimbiza mwenge huo baada ya kukabidhiwa.

 Akipiga picha ya kumbukumbu na wakimbiza mwenge huo baada ya kukabidhiwa.

 Rais Kikwete, akikabidhi Vyeti kwa wakimbiza mwenge....

 Baadhi ya wakazi na Wakuu wa Wilaya wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho yam bio za mwenge wa Uhuru.

Wasanii wa kikundi cha Sanaa cha JKT wakitoa burudani ya ngoma ya asili

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, aksalimiana na baadhi ya Viongozi wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kuhudhuria sherehe hizo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MWISHO AKIWA RAIS KUZIMA MWENGE WA UHURU, MJINI DODOMA
RAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MWISHO AKIWA RAIS KUZIMA MWENGE WA UHURU, MJINI DODOMA
http://3.bp.blogspot.com/-6VWmSnVZA2E/Vh-NilBCrtI/AAAAAAADZYI/x5LSkcpmKdY/s320/5.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-6VWmSnVZA2E/Vh-NilBCrtI/AAAAAAADZYI/x5LSkcpmKdY/s72-c/5.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-ahudhuria-sherehe.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-ahudhuria-sherehe.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago