Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

 Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambalo limefunguliwa rasmi na Rais Kikwete mjini Dodoma.  Rais wa Jamhuri ya Muu...

 Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambalo limefunguliwa rasmi na Rais Kikwete mjini Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) kwa pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad (kulia) na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (kushoto) wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, mkoani Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kibao cha uzinduzi wa jengo hilo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakati alipofika kuzindua jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, mkoani Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kulifungua rasmi Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, mkoani Dodoma. Kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (kulia).
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mara baada ya kulifungua rasmi Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mara baada ya kulifungua rasmi Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, mkoani Dodoma. Wengine pichani waliokaa ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa (kushoto), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad (wapli kushoto). Wengine ni Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya (wapili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Servacius Likwelile (kulia).
---
 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15 Oktoba, 2015, amelifungua rasmi jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mkoani Dodoma.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kujenga jengo zuri linaloakisi sifa na heshima ya utendaji wa Ofisi hiyo.
Kwa upande wake CAG, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuiwezesha ofisi yake na kuongeza uhuru wa ofisi hiyo kwa kuwawezesha kujenga majengo katika mikoa ya Singida, Morogoro na Kilimanjaro. 

Ufunguzi huo ulishuhudiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, baadhi ya viongozi waandamizi na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kutoka Makao Makuu na Dodoma. Kwa upande wa Wizara ya Fedha walioshuhudia ni Waziri wa Fedha, Bibi Saada Mkuya na Katibu Mkuu wake, Dkt. Servacius Likwelile.Jengo hili limekusudiwa kuwa makao makuu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA
RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA
http://3.bp.blogspot.com/-7cIn3_wtkbE/Vh-vyTrPDcI/AAAAAAADZhE/zgHD4MTehy8/s640/DSC_0005%25281%2529.JPG
http://3.bp.blogspot.com/-7cIn3_wtkbE/Vh-vyTrPDcI/AAAAAAADZhE/zgHD4MTehy8/s72-c/DSC_0005%25281%2529.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-afungua-rasmi-jengo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/rais-jakaya-kikwete-afungua-rasmi-jengo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago