Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PICHA:ASKARI POLISI KILIMANJARO WAFANYA ZOEZI KUJIANDAA NA ZOEZI LA UCHAGUZI.

Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi. Kamanda wa Polis...

Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia.
Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum.
RPC Ngonyani akiongoza matembezi ya askari Polisi ikiwa ni sehemu ya mazoezi.
Kikosi cha kutuliza Ghasia ,FFU.
Matembezi yakiendelea kupita maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi.
Asakari Polis wakiimba nyimbo katika zoezi hilo.
Wakati mwingine mchakamchaka ulichukua nafasi.
Hatimaye mazoezi hayo yakafikia tamati katika viwanja vya Polisi vilivyoko katika ofisi za FFU.
Baadhi ya viongozi wa jeshi hilo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PICHA:ASKARI POLISI KILIMANJARO WAFANYA ZOEZI KUJIANDAA NA ZOEZI LA UCHAGUZI.
PICHA:ASKARI POLISI KILIMANJARO WAFANYA ZOEZI KUJIANDAA NA ZOEZI LA UCHAGUZI.
http://3.bp.blogspot.com/-q5J32OeI6fg/VitH9Wlaa-I/AAAAAAAAV8c/r5zdeAWiqSw/s640/G03A3345%2B%25281280x853%2529.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-q5J32OeI6fg/VitH9Wlaa-I/AAAAAAAAV8c/r5zdeAWiqSw/s72-c/G03A3345%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/pichaaskari-polisi-kilimanjaro-wafanya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/pichaaskari-polisi-kilimanjaro-wafanya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago