Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika kijiji cha Pongwe Msungura kuzindua mra...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika kijiji cha Pongwe Msungura kuzindua mradi wa kusaga kokoto.Aliyesimama pembeni ya Rais ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga. Mradi huu unaendeshwa kwa ubia kati ya SUMA JKT na kampuni ya ANIT ASFALT ya Uturuki kwa mtaji wa shilingi Bilioni Tano na milioni mia moja ambapo SUMAJKT inamiliki asilimia 30 sawa na shilingi Bilioni moja na milioni mia sita na themanini.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Pongwe Msungura wakati wa ufunguzi wa mradi wa kusaga kokoto.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo  jana. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhuga wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusaga kokoto.kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.
 Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe.Yasemin Eralp akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mradi wa kusaga kokoto  jana.
Kikundi cha sanaa cha JKT kikitumbuiza wageni wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa kusaga kokoto.Picha na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura
Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura
http://3.bp.blogspot.com/-u1aB8cccErA/ViY8BMxlrHI/AAAAAAADZ3Y/V84GCzbWUjM/s640/2154.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-u1aB8cccErA/ViY8BMxlrHI/AAAAAAADZ3Y/V84GCzbWUjM/s72-c/2154.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_20.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_20.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago