Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidongo Chekundu

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo  cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu ...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo  cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa klabu ya michezo ya Sunderland ya Uingereza kwa kushirikiana na kampuni ya kufua umeme ya Symbion.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akicheza mpira na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo ya michezo katika kituo hicho kinachofunza mpira wa miguu,kikapu na volleyball ya ufukweni.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na  baadhi ya watoto wanaopata mafunzo katika kituo kipya cha michezo.
 Rais Dkt.Jakaya MrishoKikwete akisalimiana na watu mbalimbali muda mfupi baada ya kuzindua  Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo katika kituo kipya cha michezo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Symbion Bwana Paul Hinks baada ya sherehe za ufunguzi wa kituo.Picha zote na Freddy Maro-IKULU

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidongo Chekundu
Picha na IKULU:Rais Jakaya Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidongo Chekundu
http://4.bp.blogspot.com/-3okE_TQsR8U/ViT9ICKOtSI/AAAAAAADZwQ/ZG5jSir-V7A/s640/3118.jpg
http://4.bp.blogspot.com/-3okE_TQsR8U/ViT9ICKOtSI/AAAAAAADZwQ/ZG5jSir-V7A/s72-c/3118.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_19.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/picha-na-ikulurais-jakaya-kikwete_19.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago