Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John ...

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro
cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph
Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu
jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya
moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015



Mkono wa Pongezi kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete.

Mama Salma Kikwete akimpongeza
mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt
John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza
matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia
kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya
televisheni


Dk John Pombe Magufuli akipokea simu moja wapo za pongezi kutoka kwa Mgombea wa ACT Wazalendo, Anna Mgwira.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya
CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza
rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako
walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo
vya televisheni jana Jioni Oktoba 29, 2015.Picha na IKULU