Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NDESAMBURO ASEMA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL NDIYE ANAWEZA KUVAA VIATU VYAKE.

Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akimuombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) katik...


Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akimuombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wakazi wa Moshi waliojitikeza katika mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, Zanzibar Said Issa Mohamed akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katka mkutano huo.
Baadhi ya wakazi wa mji wa mOSHI.
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiwa amekaa jirani na Mbunge anayemaliza muda wake ,Philemoni Ndesamburo  wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa Zanzibar ,Said Issa Mohamed (hayupo pichani).
Mgombea Udiwai kata ya Pasua,Mkome Mkalakala.
Mgombea Udiwani kata ya Majengo,Mwalimu Minja.
Mgombea Udiwani kata ya Rau,Peter Kimaro.
Mgombea Udiwani kata ya Miembeni,Mbonea Mshana.
Mgombea Udiwani kata ya Longuo,Raymond Mboya.
Mgombea Udiwani kata ya Ngambo,Genesis Kihwelu .
Mgombea Udiwani kata ya Mji Mpya,Abuu Shayo.
Mgombea Udiwani kata ya Njoro,Jomba Khoi.
Baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Udiwani katika kata mbali mbali ndani ya jimbo la Moshi mjini wakifuatilia mkutano huo akiwemo mgombea Udiwani kata ya Ngangamfumuni.Anthony.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar,Said Issa Mohamed akitoa maelekzo namna ya kupiga kura na kukunja karatasi mara baada ya kupiga kura yako,
Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Lameck Kaayaa aliyekihama chama cha Mapinduzi hivi karibuni akiwa katika mkutano huo.
Umati wa watu uliojitokeza katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NDESAMBURO ASEMA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL NDIYE ANAWEZA KUVAA VIATU VYAKE.
NDESAMBURO ASEMA ALIYEKUWA MEYA WA MANISPAA YA MOSHI ,JAFARY MICHAEL NDIYE ANAWEZA KUVAA VIATU VYAKE.
http://3.bp.blogspot.com/-Ofbbij-s-04/Visjo9ItTCI/AAAAAAAAV5U/7oFBQYcb8X8/s640/IMG_1612%2B%25281280x853%2529.jpg
http://3.bp.blogspot.com/-Ofbbij-s-04/Visjo9ItTCI/AAAAAAAAV5U/7oFBQYcb8X8/s72-c/IMG_1612%2B%25281280x853%2529.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2015/10/ndesamburo-asema-aliyekuwa-meya-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2015/10/ndesamburo-asema-aliyekuwa-meya-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago